Nenda kwa yaliyomo

Friedrich Traun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Friedrich Traun

Friedrich Adolf "Fritz" Traun(29 Machi 187611 Julai 1908) alikuwa mwanariadha wa Ujerumani na mchezaji wa tenesi, alizaliwa katika familia tajiri, alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1896 na akashinda medali ya dhahabu katika mashindano ya mara mbili ya wanaume.Alijiua baada ya kutuhumiwa kuzaa mtoto nje ya ndoa.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Friedrich Traun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.