Friederike Otto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Friederike (Fredi) Elly Luise Otto (alizaliwa 29 Agosti 1982) ni mtaalamu wa hali ya hewa ambaye kufikia Desemba 2021 alifanya kazi kama mhadhiri mkuu katika Taasisi ya Grantham ya mabadiliko ya tabianchi na mazingira katika Chuo cha Imperial London. [1] Hapo awali alikuwa Mkurugenzi mshiriki katika Taasisi ya Mabadiliko ya Mazingira (ECI) Chuo Kikuu cha Oxford.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Home – Dr Friederike Otto". www.imperial.ac.uk. Iliwekwa mnamo 2021-12-17. 
  2. Otto. 
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-25. Iliwekwa mnamo 2023-05-31. 
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Friederike Otto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.