Freopedia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Freopedia ilianza kama mradi wa kuweka kodi za QRpedia sehemu mbalimbali kuzunguka Fremantle, Magharibi mwa Australia ili kuunganisha watu na makala za Wikipedia[1]. Imeweza kubadilika hadi kuwa mradi wa WikiTown unaolenga kujenga uelewa mpana juu ya Wikipedia huko Fremantle.

Wazo la awali lilitoka kwa Monmouthpedia ya Monmouth[2].

Fremantle ndilo jiji la kwanza kuwa na mradi wa aina hii,na wageni wa Fremantle wanashauriwa kufanya ziara za mtandaoni kujionea vivutio vya kihistoria na kufanya matemebezi ya kitalii kwa msaada wa ramani uliotelewa na jiji hilo[3]. Matembezi ya kiutalii ya Freopedia ni miongoni mwa maeneo mengi ya matembezi ya kiutalii yanayotangazwa na jiji hilo[4].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [https://web.archive.org/web/20160325193402/https://www.lgfocus.com.au/editions/2013-06/fremantles-heritage-enters.php "LG Focus - Fremantle�s heritage enters the digital age"]. web.archive.org. 2016-03-25. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-25. Iliwekwa mnamo 2022-09-30. 
  2. WalesOnline (2013-01-31). "Wikipedia: How a project launched in Monmouth has gone global". WalesOnline (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-30. 
  3. "archive.ph". archive.ph. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-12-12. Iliwekwa mnamo 2022-09-30. 
  4. "Freopedia Heritage Tour - Fremantle. Be part of the story". web.archive.org. 2015-03-12. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-03-12. Iliwekwa mnamo 2022-09-30.