Freiburg im Breisgau
Mandhari
- Freiburg inaelekezwa hapa.
Freiburg im Breisgau | |||
| |||
Mahali pa mji wa Freiburg im Breisgau katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 47°59′0″N 7°51′0″E / 47.98333°N 7.85000°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Baden-Württemberg | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 219,665 | ||
Tovuti: www.freiburg.de |
Freiburg au Freiburg im Breisgau ni mji wa Baden-Württemberg nchini Ujerumani. Mji upo kando ya Misitu Myeusi (Schwarzwald). Idadi ya wakazi wake takriban 219,665. Mji ulianzishwa 1120.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Freiburg im Breisgau kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |