Fredrik Ljungberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fredrik Ljungberg (alizaliwa 16 Aprili 1977) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Uswidi. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Uswidi.

Ljungberg ameichezea timu ya taifa ya Uswidi tangu mwaka wa 1998. Ljungberg alicheza Uswidi katika mechi 75, akifunga mabao 13.[1]

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

[1]

Timu ya Taifa ya Uswidi
Mwaka Mechi Magoli
1998 6 1
1999 7 0
2000 8 0
2001 9 0
2002 5 0
2003 4 1
2004 10 4
2005 7 5
2006 8 1
2007 6 1
2008 5 0
Jumla 75 13

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Fredrik Ljungberg at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fredrik Ljungberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.