Frederick Robbins
Mandhari
(Elekezwa kutoka Frederick Chapman Robbins)
Frederick Chapman Robbins (25 Agosti 1916 – 4 Agosti 2003) alikuwa daktari wa watoto kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Mwaka wa 1954, pamoja na John Enders na Thomas Weller alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Frederick Robbins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |