Franz Xaver Nagl
Mandhari
Franz Xaver Nagl S.T.D. (26 Novemba 1855 – 4 Februari 1913) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki na Askofu Mkuu wa Vienna, pamoja na Askofu Mkuu wa jimbojina la Tiro.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |