Nenda kwa yaliyomo

Frank Leboeuf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frank Leboeuf.

Franck Alain James Lebœuf (alizaliwa nchini Ufaransa Januari 22, 1968) ni mwigizaji na mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Ufaransa wa kimataifa ambaye alicheza hasa kama mlinzi wa kati.

Kwa timu ya taifa ya Ufaransa, Leboeuf aliisaidia Ufaransa kushinda Kombe la Dunia ya FIFA ya 1998 na michuano ya Ulaya ya 2000 pamoja na nyara nyingi za ndani, alikuwa maarufu miaka mitano huko Chelsea.

Tangu astaafu mpira, Leboeuf amekuwa akionekana katika uzalishaji wa vipindi na filamu.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frank Leboeuf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.