Frank-Walter Steinmeier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Frank-Walter Steinmeier (amezaliwa 5 Januari 1956) ni mwanasiasa wa Ujerumani anayehudumu kama Rais wa Ujerumani tangu tarehe 19 Machi 2017.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frank-Walter Steinmeier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.