Franjo Džidić
Mandhari
Franjo Džidić (25 Oktoba 1939 – 4 Januari 2025 ) alikuwa meneja wa soka wa kulipwa na mchezaji kutoka Bosnia na Herzegovina.
Anakumbukwa katika historia ya Zrinjski Mostar kama meneja aliyeshinda taji la kwanza kabisa la Ligi Kuu ya Bosnia na Herzegovina kwa klabu hiyo katika msimu wa 2004–2005. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "THE INTRIGUING HISTORY OF FORMER BOSNIAN BEHEMOTHS VELEŽ MOSTAR", These Football Times, 6 April 2016. Retrieved on 2025-01-06. Archived from the original on 2020-10-07.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Franjo Džidić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |