Franco Vázquez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Franco Damián Vázquez

Franco Damián Vázquez {amezaliwa 22 Februari 1989) ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Sevilla FC ya Hispania na timu ya taifa ya Argentina.

Franco Vázquez alianza kucheza mpira katika klabu ya Argentina Belgrano mwaka 2007, kabla ya kuhamia Italia (Palermo) mwaka 2011.

Baada ya hapo mnamo mwaka 2016 alipata uhamisho kwenda katika klabu ya Sevilla FC.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Franco Vázquez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.