Nenda kwa yaliyomo

Francisco Martín Fernández de Posadas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Francisco Martín Fernandez de Posadas

Francisco Martín Fernández de Posadas, O.P. (25 Novemba 164420 Septemba 1713) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki wa hispania na mshiriki aliyeweka nadhiri wa Shirika la Wahubiri (Wadominiko).

Alifahamika kama mhubiri maarufu na msimamizi wa kiroho mwenye mvuto, huku akifananishwa na Vincent Ferrer wa pili. Mwanzoni mwa maisha yake ya kitawa, alikumbana na chuki kali na dhihaka kutoka kwa baadhi ya Dominikani wenzake kabla ya kuruhusiwa kujiunga rasmi na shirika hilo.[1][2][3]

Papa Pius VII alimtangaza mwenye heri tarehe 20 Septemba 1817.

  1. "September 20: Blessed Francis de Posadas, C., O.P., III Class". Breviarium S.O.P. 20 Septemba 2013. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Francisco Martín Fernández de Posadas". Saints SQPN. 18 Mei 2016. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Blessed Francis de Posadas". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 8 Agosti 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.