Nenda kwa yaliyomo

Francis Ole Kaparo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francis Xavier Ole Kaparo (1 Septemba 1950), EGH, ni mwanasiasa wa Kenya, mwenyekiti wa tume ya NCIC tangu agosti 2014 hadi oktoba 2019. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Commissioners - National Cohesion and Integration Commission". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-12-16. Iliwekwa mnamo 2014-12-16.