François Mauriac

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
François Mauriac (1932)

François Mauriac (11 Oktoba 18851 Septemba 1970) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Maandiko yake mara nyingi yanahusu nafsi ya mtu anayejaribu kuelewa mambo ya dhambi, ya neema na ya wokovu. Mwaka wa 1952 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu François Mauriac kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.