Fort Lauderdale, Florida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Fort Lauderdale, Florida


Fort Lauderdale
Fort Lauderdale is located in Marekani
Fort Lauderdale
Fort Lauderdale

Mahali pa mji wa Fort Lauderdale katika Marekani

Majiranukta: 26°08′00″N 80°08′00″W / 26.13333°N 80.13333°W / 26.13333; -80.13333
Nchi Marekani
Jimbo Florida
Wilaya Broward
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 183,606
Tovuti:  http://www.fortlauderdale.gov/

Fort Lauderdale (au Ft. Lauderdale) ni mji wa Marekani katika jimbo la Florida. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 183,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 3 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 82 km².

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Florida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fort Lauderdale, Florida kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.