Filamu ya kijamii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Filamu ya kijamii (social film) ni aina ya filamu shirikishi inayowasilishwa kupitia taswila ya mitandao ya kijamii[1]. Filamu ya kijamii inasambazwa kidigitali na kuunganishwa na huduma ya mitandao ya kijamii, kama vile Facebook au Google. Inachanganya vipengele vya video za tovuti, michezo ya mtandao wa kijamii na mitandao ya kijamii.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-06-04. Iliwekwa mnamo 2022-09-07.