Nenda kwa yaliyomo

Maria Pia Fernández Moreira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Fernández Moreira)

María Pía Fernández Moreira (alizaliwa Aprili 1, 1995) ni mwanariadha wa umbali wa kati wa Uruguay. Alishinda medali nyingi kwenye ngazi ya mkoa.

Ubora wake ni 4:09.45 ambayo ni rekodi ya sasa ya taifa kwenye mita 1500[1].

Ubora wake

[hariri | hariri chanzo]

Nje

Mita 800 – 2:05.96 (Castres 2018)

Mita 1500 – 4:09.45 (Doha 2019)

Mita 3000 – 9:12.80 (Kessel-Lo 2018)

kilomita 10– 36:02 (Montevideo 2017)

mita 3000 za kuruka viunzi–  10:37.12 (Montevideo 2019)

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maria Pia Fernández Moreira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.