Femke Merel van Kooten

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Femke Merel Arissen

Femke Merel van Kooten-Arissen (amezaliwa 9 Novemba 1983) ni mwanasiasa kutoka Uholanzi na mjumbe wa zamani wa Baraza la Wawakilishi.

Alichaguliwa kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu wa 2017, ambapo alisimama kama mwanachama wa Chama cha Wanyama (Partij voor de Dieren - PvdD). [1] Kuanzia tarehe 15 Oktoba 2018 hadi 4 Februari 2019, alikuwa kwenye likizo ya uzazi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Maarten van Ast. "Partij voor de Dieren royeert Van Kooten vanwege 'zetelroof'", Algemeen Dagblad, 16 July 2019. (nl) 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Femke Merel van Kooten kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.