Fatuma Issa Maonyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fatuma Issa Maonyo
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 9 Aprili 1995
Mahala pa kuzaliwa    Tanzania
Nafasi anayochezea Beki
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania

* Magoli alioshinda

Fatuma Issa Maonyo, (alizaliwa tarehe 9 Aprili 1995), ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Tanzania, ambaye anacheza kama beki kwenye klabu ya Simba Queens, na Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania.[1].

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Julai 2018, Maonyo alishinda ubingwa wa Kombe la CECAFA la Wanawake 2018 akiwa katika Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania baada ya kuishinda Ethiopia kwa mabao 4-1 katika mechi yao ya mwisho. Pia alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano hayo.[2][3][1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Saddam, Mihigo. "CECAFA WOMEN 2018: Tanzania yatwaye igikombe ku nshuro ya kabiri yikurikiranya-AMAFOTO – Inyarwanda.com". inyarwanda.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-02-27. 
  2. Isabirye, David (2018-07-28). "Tanzania humbles Ethiopia to win 2018 CECAFA Women title". Kawowo Sports (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-02-26. 
  3. Myaluko, Elbogast (28 July 2018). "Fatuma Issa wa Kilimanjaro Queens kwenda Ulaya". East Africa Television (kwa Kiswahili). Iliwekwa mnamo 26 February 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fatuma Issa Maonyo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.