Fatna Bent Lhoucine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fatna Bent Lhoucine ( kwa Kiarabu : فاطنة بنت الحسين ) (alizaliwa 1935 - 6 Aprili, 2005 huko Sidi Bennour, Morocco ) alikuwa mwimbaji aliyebobea katika muziki wa Aita na Chaabi . Alikuwa msanii mashuhuri katika aina hiyo ya muziki, [1] [2] na alikuwa miongoni mwa wengine walioitwa "The Aita Legend". [3]

Fatna Bent Lhoucine alirekodi zaidi ya nyimbo 200 akiwa na kikundi cha "Oulad Ben Aguida". Aliacha kuimba mnamo 2002 baada ya kwenda kuhiji, akiwa na umri wa miaka 67, na alifariki miaka 3 baadae, katika mji aliozaliwa wa Sidi Bennour. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fatna Bent Lhoucine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.