Fabienne Dongus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fabienne Dongus

Fabienne Dongus (alizaliwa 11 Mei 1994) ni mchezaji wa soka wa nchini Ujerumani na anacheza kama kiungo wa klabu ya 1899 Hoffenheim na timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fabienne Dongus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.