FC Cincinnati
FC Cincinnati ni klabu ya soka ya nchi ya Marekani katika mji wa Cincinnati. Cincinnati iko katika jimbo la katikati la magharibi la Ohio katika Marekani. FC Cincinnati inacheza katika kongamano la mashariki la MLS (Ligi Kuu ya Soka). Tarehe 12 Agosti 2015, FC Cincinnati ilianza katika ligi ya USL. Tarehe Mei 29, 2018, FC Cincinnati ilihamia ligi ya MLS (Major League Soccer).
Uwanja wa soka
[hariri | hariri chanzo]Kutoka 2016 hadi 2020, FC Cincinnati ilicheza uwanjani wa Nippert. Uwanja wa Nippert upo katika chuo kikuu cha Cincinnati. Timu ya futboli ya Chuo Kikuu cha Cincinnati pia inacheza hapa. FC Cincinnati ina jengo la mazoezi katika jimbo la Ohio, mji wa Milford. Sasa, FC Cincinnati inacheza katika uwanja wa TQL. FC Cincinnati pekee inacheza hapa. Uwanja wa TQL ulijengwa mwaka wa Elfu mbili na ishirini na moja.
Rangi na beji
[hariri | hariri chanzo]Rangi ya kwanza ya FC Cincinnati ni rangi ya chungwa na bluu. Rangi ya pili ni kijivu, buluu nzito, na nyeupe.
Beji ya FC Cincinnati ni rangi ya machungwa, bluu, na nyeupe. Ina neno "Cincinnati". Pia, ina simba mwenye mbawa anavaa taji na anashika upanga.
Nyota ya jaha
[hariri | hariri chanzo]Nyota wa FC Cincinnati ni simba wa chungwa. Ana nywele za bluu na Jina lake ni Gary. Yeye ni mcheshi sana na mashabiki wanampenda.
Muhimu
[hariri | hariri chanzo]Soka ni mchezo kwamba ni upendo watu. Mamilioni ya watu wanacheza soka. Watu wengi katika nchi ya Kenyani ni mfuasi kwa Harambee Stars. Soka ni ya watu zote na ni alicheza zaidi kwa michezo.