Nenda kwa yaliyomo

Félix Lemaréchal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Félix Lemaréchal (alizaliwa 7 Agosti 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Cercle Brugge inayoshiriki ligi kuu ya Ubelgiji akitokea AS Monaco kwa mkopo.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "France - F. Lemaréchal - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Félix Lemaréchal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.