Eve Badana
Mandhari
Eve Martha Badana (amezaliwa Kanada, 9 Julai 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza kama kipa katika klabu ya Ireland ya DLR Waves na katika ligi ya kitaifa ya wanawake.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "'I’m extremely grateful' - Eve Badana's journey from Canada to the Irish senior squad", Irish Independent, 9 June 2021.
- ↑ "Eve Badana". Drexel University. Iliwekwa mnamo 2012-04-01.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eve Badana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |