Nenda kwa yaliyomo

Eugene Cowles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
karibu na mwaka 1890–1900

Eugene Cowles (17 Januari 186022 Septemba 1948) alikuwa mwimbaji na mchezaji wa opereta kutoka Kanada. Alianza kurekodi mwaka 1898 akaendelea hadi mwaka 1921.[1]

  1. Gänzl, Kurt. "The Fortune Teller: Comic opera in 3 acts by Victor Herbert", Comic Opera Research Center, February 28, 2016
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eugene Cowles kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.