Eugène Pehoua-Pelema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eugène Pehoua-Pelema ni mchezaji wa zamani wampira wa kikapu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Alishiriki katika michuano ya Olimpiki mwaka 1988 akiwa na timu yake ya taifa. Baadaye aliiongoza timu hiyo kama mkurugenzi wa ufundi na kocha mkuu mwaka 2009-2010.

Eugène Pehoua-Pelema[1] ni Rais na mwanzilishi wa Africa Education Sports (AES). shirika linajikita katika kukuza vipaji vya mpira wa kikapu barani Afrika, elimu pia kukuza mtaji wa watu katika kijamii.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Eugene Pehoua Pelema - Player Profile - Football (en). Eurosport. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.