Nenda kwa yaliyomo

Ethan Mbappé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ethan Mbappé Lottin (alizaliwa 29 Desemba 2006)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa.

  1. "Fédération Française de Football". www.fff.fr. Iliwekwa mnamo 2024-06-19.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ethan Mbappé kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.