Esta É a Nossa Pátria Bem Amada
Mandhari
"Esta É a Nossa Pátria Bem Amada" (Kiswahili: "Hii ni Nchi Yetu Inayopendwa Sana") ni wimbo wa kitaifa wa Guinea Bisau. Ilitungwa na Amílcar Cabral ikawa wimbo rasmi wakati wa uhuru mwaka 1974. Ilikuwa pia wimbo wa taifa wa Cabo Verde hadi 1996.
Maneno ya Kireno
[hariri | hariri chanzo]- Sol, suor e o verde e mar,
- Séculos de dor e esperança:
- Esta é a terra dos nossos avós!
- Fruto das nossas mãos,
- Da flor do nosso sangue:
- Esta é a nossa pátria amada.
- KIITIKIO:
- Viva a pátria gloriosa!
- Floriu nos céus a bandeira da luta.
- Avante, contra o jugo estrangeiro!
- Nós vamos construir
- Na pátria immortal
- A paz e o progresso!
- Nós vamos construir
- Na pátria imortal
- A paz e o progresso! paz e o progresso!
- Ramos do mesmo tronco,
- Olhos na mesma luz:
- Esta é a força da nossa união!
- Cantem o mar e a terra
- A madrugada e o sol
- Que a nossa luta fecundou.
- KIITIKIO
Tafsiri
[hariri | hariri chanzo]- Jua, jasho na bahari ya kijani,
- Karne za maumivu na matumaini;
- Hii ni nchi ya babu zetu.
- Tunda la mikono yetu
- ya ua la damu yetu:
- Hii ni nchi yetu tunayoipenda.
- KIITIKIO:
- Nchi yetu idumu milele!
- Bendera ya mapambano yetu
- Imepepea angani.
- Twende dhidi ya mkatale wa kigeni!
- Tutajenga
- Amani na maendeleo
- Katika nchi yetu inayodumu milele!
- Amani na maendeleo
- Katika nchi yetu inayodumu milele!
- Matawi ya shina moja,
- Macho yenye nuru moja,
- Hii ni nguvi ya umoja wetu!
- Bahari na bara,
- Alfajiri na jua huimba pamoja:
- Mapambano yetu yamezaa matunda!
- KIITIKIO
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- MIDI File Archived 13 Machi 2007 at the Wayback Machine.