Nenda kwa yaliyomo

Ernesto Teodoro Moneta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ernesto Teodoro Moneta

Ernesto Teodoro Moneta (20 Septemba 183310 Februari 1918) alikuwa mwandishi wa habari kutoka nchi ya Italia. Mwaka wa 1907, pamoja na Louis Renault alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernesto Teodoro Moneta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.