Ernestine Gwet Bell
Mandhari
Ernestine Gwet-Bell (alizaliwa mwaka 1953) ni daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi kutoka Kamerun ambaye alisimamia "in vitro fertilisation" (IVF) ya kwanza yaliyofanikiwa nchini mwake. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Improving health of women and infants : Gynecologists to meet in Douala". www.cameroon-tribune.cm (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-01-20.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ernestine Gwet Bell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |