Eritrea, Eritrea, Eritrea
Mandhari
Eritrea, Eritrea, Eritrea ni wimbo wa taifa wa Eritrea. Ilipitishwa mnamo 1993 muda mfupi baada ya uhuru, iliandikwa na Solomon Tsehaye Beraki na kutungwa na Isaac Abraham Meharezghi na Aron Tekle Tesfatsion.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "nationalanthems.me". nationalanthems.me. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-09. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.