Erick Keter
Mandhari
Erick Keter (amezaliwa 22 Julai 1966) ni mwanariadha wa Kenya wa mita 400 kuruka vizuizi. Amewahi pia kuwa mshikilia rekodi wa kitaifa Kenya.
Mafanikio
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Shindano | Mahali | Matokeo | Vidokezo zaidi |
---|---|---|---|---|
1991 | Mashindano ya Dunia | Tokyo, Japan | 7 | Mita 400 kuruka vizuizi |
Michezo ya All-Africa | Cairo, Egypt | 1 | 400 kuruka vizuizi | |
1993 | Mashindano ya Dunia | Stuttgart, Ujerumani | 5 | 400 m kuruka vizuizi |
Ubinwa wa Afrika | Durban, Afrika Kusini | 1 | 400 m kuruka vizuizi | |
1999 | Michezo ya All-Afrika | Johannesburg, Afrika Kusini | 3 | 400 m kuruka vizuizi |
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- IAAF wasifu wa Erick Keter
Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Erick Keter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |