Erick Keter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Erick Keter

Erick Keter (amezaliwa 22 Julai 1966) ni mwanariadha wa Kenya wa mita 400 kuruka vizuizi. Amewahi pia kuwa mshikilia rekodi wa kitaifa Kenya.

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

style="border-collapse: collapse; font-size: 95%;"
Mwaka Shindano Mahali Matokeo Vidokezo zaidi
1991 Mashindano ya Dunia Tokyo, Japan 7 Mita 400 kuruka vizuizi
Michezo ya All-Africa Cairo, Egypt 1 400 kuruka vizuizi
1993 Mashindano ya Dunia Stuttgart, Ujerumani 5 400 m kuruka vizuizi
Ubinwa wa Afrika Durban, Afrika Kusini 1 400 m kuruka vizuizi
1999 Michezo ya All-Afrika Johannesburg, Afrika Kusini 3 400 m kuruka vizuizi

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]



Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Erick Keter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.