Eric Rutanga
Mandhari
Eric Rutanga | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Tarehe ya kuzaliwa | 3 Novemba 1992 | |
Mahala pa kuzaliwa | Kigali, Rwanda | |
Urefu | 1.76 m (5 ft 9 1⁄2 in) | |
Nafasi anayochezea | Beki wa pembeni kushoto | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | Yanga Sc | |
Namba | 10 | |
Klabu za vijana | ||
APR 2013-2017
Rayon Sports 2017-2020
| ||
Timu ya taifa | ||
Rwanda | ||
* Magoli alioshinda |
Eric Rutanga (amezaliwa 3 Novemba 1992) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya Yanga Sc ya Tanzania na timu ya taifa ya Rwanda.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eric Rutanga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |