Nenda kwa yaliyomo

Eric Engstrom

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eric Engstrom (Januari 25, 1965 – Desemba 1, 2020) alikuwa mhandisi wa programu za kompyuta wa nchini Marekani.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Engstrom alizaliwa mnamo 1965 huko Oroville, Washington.[1] Alihudhuria lakini hakumaliza shahada katika Chuo Kikuu cha Jimbo la Washington. Alipokuwa akifanya kazi kadhaa baada ya kuacha chuo kikuu, huku alikua akijifunza kutengeza programu za kompyuta.[2]

  1. "G. Eric Engstrom, Wildseed". UW Video.
  2. Takahashi, Dean (Desemba 7, 2020). "Friends remember Microsoft renegade Eric Engstrom, who suggested a DirectX console". Venture Beat. Iliwekwa mnamo Desemba 7, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eric Engstrom kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.