Nenda kwa yaliyomo

Ennica Mukomberanwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ennica Mukomberanwa
Nchi Zimbabwe
Kazi yake Msanii

Ennica Mukomberanwa (alizaliwa 1978) ni msanii wa sanaa za uchongaji nchini Zimbabwe. Ni binti wa Grace Mukomberanwa na Nicholas Mukomberanwa. Alifunzwa na kizazi cha kwanza cha wachonga sanamu.

Kazi zake zinaonyeshwa katika nyumba za maonyesho duniani kote. [1] Ni kizazi cha tatu cha wachonga Sanaa Zimbabwe. Mnamo mwaka 2004 alizawadiwa tuzo ambayo ilimruhusu kusafiri kwenda Stockholm, Copenhagen, Scotland, na Kanada. Ni mwanafamilia katika familia ya wasanii wachongaji na wazazi wake walikuwa ndio washauri wake wakuu katika masuala ya sanaa. [1] Ni dada wa wachonga sanaa Anderson, Netsai, Taguma, Tendai Mukomberanwa na Lawrence Mukomberanwa, na binamu wa Nesbert Mukomberanwa

Kazi zake zilihusisha sana mila za Washona na mara nyingi alichonga sanamu ndogo na pia alichonga sanamu kubwa kadhaa.[1][2] .[1][2] Akiwa miongoni mwa wasanii walioshirikishwa katika onyesho la kimataifa la wachonga sanamu lililofanyika uko Andres Institute of Art , New Hampshire, mwaka 2014 ambapo alifanya kazi na jiwe la granit.[3][4]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Mukomberanwa alisomea masuala ya elimu na rasilimali watu. [5]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

  • "The Fisherman" – Best Sculptor on Show, National Gallery of Art, Zimbabwe 2005[6]
  • Woman Artist of the Year" Tuzo ya Mmsanii bora wa kike – 2004

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 "Ennica Mukomberanwa : Biography, Photographs and Sculpture samples of Zimbabwe Sculpture artist Ennica Mukomberanwa". Zimsculpt.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-21. Iliwekwa mnamo 2012-01-26.
  2. "Ennica Mukomberanwa". Friends Forever Zimbabwe. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Januari 2012. Iliwekwa mnamo 2012-01-26. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "The Hippo : New Hampshire's Weekly  : International art". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-05. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-05-05. Iliwekwa mnamo 2021-03-20.
  5. "Bildhauer aus Simbabwe – Galerie Hafenliebe". Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-18. Iliwekwa mnamo 2014-10-14. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: archived copy as title (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ennica Mukomberanwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.