Emily Hobhouse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Emily Hobhouse

Picha ya Emily Hobhouse aliyopigwa na Henry Walter Barnett mnamo 1902
Amezaliwa
kijiji cha St Ive, karibu na Liskeard ndani ya Cornwall
Kazi yake Mwanaharakati


Emily Hobhouse (9 Aprili 18608 Juni 1926) alikuwa mwanaharakati wa kupigania ustawi wa wanawake.[1][2][3] Anatambulika sana kwa kuleta uelewa na umakini kwa jamii ya Uingereza na kufanya mabadiliko sehemu za kazi hasa ndani ya concentration camps ndani ya Afrika Kusini iliyotengenezwa kufungwa na Boer katika vita ya pili ya Makaburu.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa katika kijiji cha St Ive, karibu na Liskeard ndani ya Cornwall, alikuwa binti wa Caroline (née Trelawny) na Reginald Hobhouse, Anglican rector na Archdeacon of Bodmin. Alikuwa dada wa Leonard Trelawny Hobhouse, mwanaharakati wa amani na mfuasi wa mapinduzi ya kijamii.[4] Alimathiri ndugu yake Stephen Henry Hobhouse.[5]

Mama yake alifariki alipokuwa ana miaka 20, na alitumia muda wa miaka kumi na nne kumuuguza baba yake aliyekuwa dhaifu kiafya. Baba yake alipofariki mnamo 1895 alienda Minnesota kufanya kazi zake za ustawi ambazo alikuwa miongoni mwawachimba madini wa cornish walio ishi huko, afari zilikuwa zikiandaliwa na mke wa Archbishop of Canterbury. Huko akachumbiwa na John Carr Jackson and na wapenzi hao walileta ranch in Mexico lakini haikufanikiwa na uchumba ulikufa hapo.Alirudi England mwaka 1898 baada ya kupoteza pesa zake nyingi kwenye biashara ambayo haikufaniiwa. Shela lake la harusi ambalo hakulivaa limetundikwa kwenye ofisi kuu za Oranje Vrouevereniging (Orange Women's Society) kule Bloemfontein, shirika la kwanza la ustawi wa wanawake ambalo lilikuwa Orange Free State, ilikuwa kama alama ya kujitoa kuwainua wanawake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Home". The Emily Hobhouse Letters: South Africa in International Context, 1899-1926. Iliwekwa mnamo 20 August 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Rebecca Gill & Cornelis Muller (2018) The limits of agency: Emily Hobhouse’s international activism and the politics of suffering, Safundi, 19:1, 16-35, DOI: 10.1080/17533171.2018.1404744
  3. "Boer War biscuit". BBC. Iliwekwa mnamo 20 August 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. Elaine Harrison. 'Hobhouse, Emily (1860–1926)’, Oxford Dictionary of National Biography, Oxford University Press, September 2004; online edu, May 2006 [1]; accessed 15 October 2007]
  5. Zedner, Lucia. The criminological foundations of penal policy, p. 248, Oxford: Oxford University Press, 2003; ISBN|0-19-926509-7
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emily Hobhouse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.