Emily Cherotich Tuei
Mandhari
Emily Cherotich Tuei (alizaliwa 13 Mei 1986) ni mwanariadha wa Kenya wa mbio za masafa ya kati.[1] Alishiriki katika mbio za mita 800 za wanawake katika mashindano ya Dunia ya riadha ya mwaka 2017.[2]
Mnamo Juni 2021, alifuzu kuwakilisha Kenya katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2020.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Emily Cherotich Tuei". IAAF. Iliwekwa mnamo 13 Agosti 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "800 metres Women". IAAF. Iliwekwa mnamo 13 Agosti 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Olobulu, Timothy (2021-06-19). "Conseslus, Timothy Cheruiyot out as Kenya names team for Tokyo Olympics". Capital Sports (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-06-20.
Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emily Cherotich Tuei kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |