Emily Atkin
Mandhari
Emily Atkin ni mwandishi wa habari za mazingira anayejulikana sana kwa kuanzisha jarida la kila siku kuhusu mabadiliko ya tabianchi linaloitwa HEATED. [1] [2] [3] Pia alizindua podikasti yenye jina hilo hilo ili kuchunguza masuala ya kijamii yanayogusia mabadiliko ya tabianchi, hasa yaliyoangaziwa na janga la COVID-19.
Hapo awali, Emily Atkin alikuwa mwandishi wa habari wa The New Republic na ThinkProgress [4] Yeye ni mchangiaji wa insha iliyoitwa All We Can Save, iliyohaririwa na Ayana Elizabeth Johnson na Katharine K. Wilkinson, [5] na mwandishi wa safu katika MSNBC. [6]
Atkin alilelewa huko New York, na kusoma katika Chuo Kikuu cha Jimbo la New York huko New Paltz kozi ya uandishi wa habari. [7]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Contributors". All we can save (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-07. Iliwekwa mnamo 2020-09-02.
- ↑ Nadia (4 Machi 2020). "How Emily Atkin turned her climate change newsletter into a six-figure income". on.substack.com. Iliwekwa mnamo 2020-09-02.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Hentz (2019-10-01). Emily Atkin is pissed off about climate change. Her new newsletter Heated says we all should be (en-US). Storybench. Retrieved on 2020-09-02.
- ↑ Nadia (4 Machi 2020). "How Emily Atkin turned her climate change newsletter into a six-figure income". on.substack.com. Iliwekwa mnamo 2020-09-02.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Contributors". All we can save (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-07. Iliwekwa mnamo 2020-09-02.
- ↑ "MSNBC Author Emily Atkin". MSNBC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-06. Iliwekwa mnamo 2024-10-08.
- ↑ Segalov, Michael. "'The parallels between coronavirus and climate crisis are obvious'", The Guardian, 2020-05-04. (en-GB)