Emiliano Martinez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Emiliano Martinez.

Damián Emiliano Martínez (alizaliwa 2 Septemba 1992) ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Arsenal FC na timu ya taifa ya Argentina.

Aliitwa kwenye kikosi cha Argentina kuchukua nafasi ya Óscar Ustari ili kukabiliana na Nigeria.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emiliano Martinez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.