Emil von Behring
Mandhari
(Elekezwa kutoka Emil Adolf von Behring)
Emil Adolf von Behring (15 Machi 1854 – 31 Machi 1917) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Alichunguza virusi visababishavyo maradhi, hasa dondakoo. Mwaka wa 1901 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emil von Behring kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |