Ellie Roebuck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Roebuck mnamo 2022

Ellie Roebuck (alizaliwa 23 Septemba 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[2] na timu ya taifa ya Uingereza.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-26. Iliwekwa mnamo 2024-04-28. 
  2. Sheffield United FC. "Sheffield United FC". Sheffield United FC. Iliwekwa mnamo 2024-04-28. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ellie Roebuck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.