Nenda kwa yaliyomo

Eliesse Ben Seghir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eliesse Ben Seghir (alizaliwa 16 Februari 2005)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Moroko, ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Monaco na timu ya taifa ya Moroko.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://africafootunited.com/as-monaco-eliesse-ben-seghir-signe-son-premier-contrat-professionnel/
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eliesse Ben Seghir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.