Nenda kwa yaliyomo

Elias Nyang'ongela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elias Nyang'ongela maarufu kama Mzee Kikala ni Mwigizaji wa filamu na tamthilia nchini Tanzania[1][2].

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Mzee Kikala ni mzaliwa wa Sengerema Mwanza akiwa na elimu ya shahada ya sanaa katika masuala ya uigizaji aliyopata nchini Sweeden. Mpaka sasa ana familia ya watoto saba na mjukuu mmoja[3]

Mzee Kikala alianza kama utumishi katika kituo cha sanaa za ngoma cha Taifa akiwa kama mchezaji, mtunzi na mbunifu wa aina za ngoma. Baadae mnamo mwaka 1986 hadi 2015 alihudumu kama mwalimu katika Chuo cha Sanaa Bagamoyo[4]

Filamu alizoshiriki

[hariri | hariri chanzo]
  1. Kombolela[5]
  2. Mwanamuziki
  3. Kitasa
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elias Nyang'ongela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.