El Kseur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa El Kseur.

El Kseur ni mji uliopo Kaskazini mwa Algeria.

Reli ya Béni Mansour-Bejaïa ndiyo inayoihudumia jamii ya mji huu chini ya shirika la taifa la huduma za reli liitwalo SNTF.

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu El Kseur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.