Eitaro Matsuda
Mandhari
Eitaro Matsuda (alizaliwa 20 Mei 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani kwa sasa anacheza kama winga wa klabu ya Ligi ya J1 Albirex Niigata, kwa mkopo kutoka Yokohama F. Marinos. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eitaro Matsuda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |