Einar Gundersen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Huyu ni Einar Gundersen

Einar Gundersen (20 Septemba 1896 - 29 Oktoba 1962) alikuwa mchezaji wa soka wa Norway.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Katika kiwango cha klabu, Gundersen alifunga zaidi ya magoli 200 alishinda katika Kombe la ligi kuu ya Norwey katika misimu mitano.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Na ni miongoni mwa wachezaji nyota wa kwanza wa mpira wa miguu wa Norway. Alicheza kimataifa mechi 33 katika timu ya taifa ya Norway, na aliweza kushinda magoli 26 ambayo yanamuweka wa pili kwenye orodha ya jumla ya wafungaji bora wa timu ya taifa.

Pia alicheza kwenye Olimpiki ya mwaka 1920, na alifunga magoli mawili kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya England amateur.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Einar Gundersen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.