Nenda kwa yaliyomo

Edward Theodore Compton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima wa Großglockner alivyouchora Compton mwaka wa 1918

Edward Theodore Compton (29 Julai, 1849 - 22 Machi, 1921) alikuwa mchoraji kutoka nchi ya Uingereza. Tangu mwaka wa 1869 aliishi nchini Ujerumani ambapo alifunga ndoa na kupata uraia. Alichora michoro elfu moja na mia saba ya milima, hasa milima ya Alpi.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Theodore Compton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.