Edward Iacobucci
Mandhari
Edward Michael Iacobucci (amezaliwa 6 Oktoba 1968) ni msomi wa sheria wa Kanada ambaye ni mkuu wa zamani wa kitivo cha sheria Chuo Kikuu cha Toronto, ambapo pia ni Profesa James M. Tory wa Sheria.[1] Kabla ya kuanza kazi kama mkuu wa kitivo hicho mnamo 1 Januari 2015 kwa kipindi cha miaka mitano,[2] alikuwa ni profesa katika kitivo hicho, naibu mkuu wa kitivo cha utafiti, na Mwenyekiti Osler wa Sheria ya Biashara.[3] Maeneo yake makuu ya utafiti ni sheria ya kampuni, sheria ya ushindani, na uhusiano kati ya uchumi na sheria.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 "Edward Iacobucci". University of Toronto Faculty of Law. Iliwekwa mnamo 22 Agosti 2016.
- ↑ Slind, Aidin (3 Novemba 2016). "Ed Iacobucci to head law school". The Varsity. Iliwekwa mnamo 22 Agosti 2016.
- ↑ Taddese, Yamri (24 Oktoba 2016). "Changing legal landscape focus for new UofT law dean". Canadian Lawyer Magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-03. Iliwekwa mnamo 22 Agosti 2016.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edward Iacobucci kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |