Edward Victor Appleton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Edward Appleton)
Edward Victor Appleton

Edward Appleton (6 Septemba 189221 Aprili 1965) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mionzi katika anga ya nje. Mwaka wa 1941 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza. Mwaka wa 1947 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Victor Appleton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.